Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 108:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Ee BWANA, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Ee Mwenyezi-Mungu, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Ee Mwenyezi-Mungu, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Ee Mwenyezi-Mungu, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Nitakusifu wewe, Ee Mwenyezi Mungu, kati ya mataifa; nitaimba habari zako, katika jamaa za watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Nitakusifu wewe, Ee bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 108:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni BWANA, Enyi watu wote, mhimidini.


Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu, Katikati ya kusanyiko nitakusifu.


Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.


Semeni katika mataifa, BWANA ametamalaki; Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, Atawahukumu watu kwa adili.


Imba, Ee binti Sayuni; piga kelele, Ee Israeli; Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, Ee binti Yerusalemu.


Wakati huo nitawaingizeni, na wakati huo nitawakusanya; kwa maana nitawafanya ninyi msifiwe na mjulikane, miongoni mwa watu wote wa dunia, nitakapowarudisha wafungwa wenu mbele ya macho yenu, asema BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo