Zaburi 108:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Ee Mungu, si Wewe uliyetutupa? Wala, Ee Mungu, huendi na majeshi yetu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Je, umetuacha kabisa, ee Mungu? Wewe huendi tena na majeshi yetu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Je, umetuacha kabisa, ee Mungu? Wewe huendi tena na majeshi yetu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Je, umetuacha kabisa, ee Mungu? Wewe huendi tena na majeshi yetu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi, na hutoki tena na majeshi yetu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi, na hutoki tena na majeshi yetu? Tazama sura |
Naye Asa akamlilia BWANA, Mungu wake, akasema, BWANA, hapana kuliko wewe aliye wa kusaidia, kati yake yeye aliye hodari, na yeye asiye na nguvu; utusaidie, Ee BWANA, Mungu wetu; kwa kuwa sisi twakutegemea wewe, na kwa jina lako tumekuja juu ya jamii kubwa hii. Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu wetu, asikushinde mwanadamu.