Zaburi 108:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye boma? Ni nani atakayeniongoza hadi Edomu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Ni nani, atakayenipeleka kwenye mji wa ngome? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Ni nani, atakayenipeleka kwenye mji wa ngome? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Ni nani, atakayenipeleka kwenye mji wa ngome? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome? Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome? Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu? Tazama sura |