Zaburi 107:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Maana hushibisha nafsi yenye shauku, Na nafsi yenye njaa huijaza mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Yeye huwatosheleza walio na kiu; na wenye njaa huwashibisha mema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 kwa maana yeye humtosheleza mwenye kiu, na kumshibisha mwenye njaa kwa vitu vyema. Tazama sura |