Zaburi 107:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo walipomlilia Mwenyezi Mungu katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo walipomlilia bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. Tazama sura |