Zaburi 107:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Maana amewakalisha huko wenye njaa, Nao wamejenga mji wa kukaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Akawahamishia huko wenye njaa, nao wakajenga mji wa kukalika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Akawahamishia huko wenye njaa, nao wakajenga mji wa kukalika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Akawahamishia huko wenye njaa, nao wakajenga mji wa kukalika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi. Tazama sura |