Zaburi 107:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Amegeuza jangwa ikawa ziwa la maji, Na nchi kavu ikawa chemchemi za maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Aligeuza majangwa kuwa mabwawa ya maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Aligeuza majangwa kuwa mabwawa ya maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Aligeuza majangwa kuwa mabwawa ya maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zinazotiririka; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; Tazama sura |