Zaburi 107:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Amegeuza mito ikawa jangwa, Na chemchemi za maji zikawa nchi kavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Mungu aliigeuza mito kuwa jangwa, chemchemi akazikausha kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Mungu aliigeuza mito kuwa jangwa, chemchemi akazikausha kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Mungu aliigeuza mito kuwa jangwa, chemchemi akazikausha kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Yeye aligeuza mito kuwa jangwa, chemchemi za maji zinazotiririka kuwa ardhi yenye kiu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Yeye aligeuza mito kuwa jangwa, chemchemi za maji zitiririkazo kuwa ardhi yenye kiu, Tazama sura |
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.