Zaburi 107:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Basi na wamshukuru bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. Tazama sura |