Zaburi 107:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Ndipo walipofurahi kwa kuwa yametulia Naye akawaleta mpaka bandani waliyoitamani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hapo wakafurahi kwa kupata utulivu; akawafikisha kwenye bandari waliyoiendea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hapo wakafurahi kwa kupata utulivu; akawafikisha kwenye bandari waliyoiendea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hapo wakafurahi kwa kupata utulivu; akawafikisha kwenye bandari waliyoiendea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Walifurahi ilipokuwa shwari, naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Walifurahi ilipokuwa shwari, naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani. Tazama sura |