Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 107:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Huituliza dhoruba, ikawa shwari, Mawimbi yake yakanyamaza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Aliifanya ile dhoruba kali itulie, nayo mawimbi yakanyamaza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Aliifanya ile dhoruba kali itulie, nayo mawimbi yakanyamaza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Aliifanya ile dhoruba kali itulie, nayo mawimbi yakanyamaza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Akatuliza dhoruba kwa mnong’ono, mawimbi ya bahari yakatulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Akatuliza dhoruba kwa mnong’ono, mawimbi ya bahari yakatulia.

Tazama sura Nakili




Zaburi 107:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Watuliza kuvuma kwa bahari, Kuvuma kwa mawimbi yake, Na ghasia za watu;


Kwa hiyo wakaao mbali kabisa huogopa ishara zako; Milango ya asubuhi na jioni waifurahisha.


Wewe ndiwe ukitawalaye kiburi cha bahari. Mawimbi yake yainukapo, wewe unayatuliza.


Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka.


Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga, enyi wa imani haba? Mara akaondoka, akazikemea pepo na bahari; kukawa shwari kuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo