Zaburi 107:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya kutoka kwa shida zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Ndipo katika taabu zao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Ndipo katika taabu zao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Ndipo katika taabu zao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ndipo walipomlilia Mwenyezi Mungu katika shida yao, naye akawatoa kwenye taabu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ndipo walipomlilia bwana katika shida yao, naye akawatoa kwenye taabu yao. Tazama sura |