Zaburi 107:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Walirushwa juu mbinguni, waliteremka hadi vilindini, Uhodari wao ukayeyuka katika maafa yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Walitupwa juu angani, kisha chini vilindini; uhodari wao ukawaishia katika mkasa huo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Walitupwa juu angani, kisha chini vilindini; uhodari wao ukawaishia katika mkasa huo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Walitupwa juu angani, kisha chini vilindini; uhodari wao ukawaishia katika mkasa huo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini; katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini, katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka. Tazama sura |