Zaburi 107:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Washukao baharini katika merikebu, Wafanyao kazi yao katika maji mengi, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Baadhi walisafiri baharini kwa meli, na kufanya shughuli zao humo baharini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Baadhi walisafiri baharini kwa meli, na kufanya shughuli zao humo baharini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Baadhi walisafiri baharini kwa meli, na kufanya shughuli zao humo baharini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Wengine walisafiri baharini kwa meli, walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Wengine walisafiri baharini kwa meli, walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu. Tazama sura |