Zaburi 107:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Na wamshukuru BWANA kwa fadhili zake, Na maajabu yake kwa wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa fadhili zake; kwa sababu ya maajabu aliyowatendea binadamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Basi na wamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Basi na wamshukuru bwana kwa upendo wake usiokoma, na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. Tazama sura |