Zaburi 107:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya kutoka kwa shida zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ndipo walipomlilia Mwenyezi Mungu katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ndipo walipomlilia bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. Tazama sura |