Zaburi 107:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Nafsi zao zachukia kila namna ya chakula, Wameyakaribia malango ya mauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 chakula kikawa kinyaa kwao, wakawa nusura wafe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 chakula kikawa kinyaa kwao, wakawa nusura wafe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 chakula kikawa kinyaa kwao, wakawa nusura wafe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Wakachukia kabisa vyakula vyote, wakakaribia malango ya mauti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Wakachukia kabisa vyakula vyote, wakakaribia malango ya mauti. Tazama sura |