Zaburi 107:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Wakamlilia BWANA katika dhiki zao, Akawaponya kutoka kwa shida zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo walipomlilia Mwenyezi Mungu katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo walipomlilia bwana katika shida yao, naye akawaokoa kutoka taabu yao. Tazama sura |