Zaburi 107:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Hata akawadhili moyo kwa taabu, Wakajikwaa, wala pasiwe na wa kuwasaidia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Walikuwa hoi kwa kazi ngumu, wakaanguka chini, pasiwe na wa kuwasaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Walikuwa hoi kwa kazi ngumu, wakaanguka chini, pasiwe na wa kuwasaidia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Walikuwa hoi kwa kazi ngumu, wakaanguka chini, pasiwe na wa kuwasaidia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwa na mtu wa kuwasaidia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Aliwatumikisha kwa kazi ngumu; walijikwaa na hapakuwepo yeyote wa kuwasaidia. Tazama sura |