Zaburi 107:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kwa sababu waliyaasi maneno ya Mungu, Wakalidharau shauri lake Aliye Juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 kwa sababu waliasi maagizo ya Mungu, na kuyapuuza mashauri yake Mungu Mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 kwa sababu waliasi maagizo ya Mungu, na kuyapuuza mashauri yake Mungu Mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 kwa sababu waliasi maagizo ya Mungu, na kuyapuuza mashauri yake Mungu Mkuu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 kwa sababu waliasi dhidi ya maneno ya Mungu, na kudharau ushauri wa Aliye Juu Sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 kwa sababu walikuwa wameasi dhidi ya maneno ya Mungu na kudharau shauri la Aliye Juu Sana. Tazama sura |