Zaburi 106:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 ili niweze kuona fanaka ya wateule wako, nipate kufurahia furaha ya taifa lako, na kuona fahari pamoja na watu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako, niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuungana na urithi wako katika kukusifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako, niweze kushiriki katika furaha ya taifa lako, na kuungana na urithi wako katika kukusifu. Tazama sura |