Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 106:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

48 Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, Tangu milele hata milele. Watu wote na waseme, Amina. Haleluya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

48 Asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele! Na watu wote waseme: “Amina!” Asifiwe Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

48 Asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele! Na watu wote waseme: “Amina!” Asifiwe Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

48 Asifiwe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele! Na watu wote waseme: “Amina!” Asifiwe Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

48 Atukuzwe Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele. Watu wote na waseme, “Amen!” Msifuni Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

48 Atukuzwe bwana, Mungu wa Israeli, tangu milele na hata milele. Watu wote na waseme, “Amen!” Msifuni bwana.

Tazama sura Nakili




Zaburi 106:48
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, tangu milele hata milele. Na watu wote wakasema, Amina; wakamhimidi BWANA.


Kwa hiyo Daudi akamhimidi BWANA, mbele ya mkutano wote; naye Daudi akasema, Uhimidiwe, Ee BWANA, Mungu wa Israeli baba yetu, milele na milele.


Ili wazishike amri zake, na kuzitii sheria zake. Haleluya.


Na atukuzwe BWANA, Mungu wa Israeli, Tangu milele hata milele. Amina na Amina.


Na ahimidiwe BWANA milele. Amina na Amina.


Kwa maana wewe ukibariki kwa roho, yeye aketiye katika mahali pa mjinga ataitikaje, Amina, baada ya kushukuru kwako, akiwa hayajui usemayo?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo