Zaburi 106:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Akawatia mikononi mwa mataifa, Nao waliowachukia wakawatawala. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Akawatia makuchani mwa watu wa mataifa, hao wenye kuwachukia wakawatawala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Akawatia makuchani mwa watu wa mataifa, hao wenye kuwachukia wakawatawala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Akawatia makuchani mwa watu wa mataifa, hao wenye kuwachukia wakawatawala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Akawakabidhi kwa mataifa na adui zao wakawatawala. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Akawakabidhi kwa mataifa na adui zao wakawatawala. Tazama sura |