Zaburi 106:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Waliabudu sanamu za miungu yao, nazo zikawa mtego wa kuwaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Waliabudu sanamu za miungu yao, nazo zikawa mtego wa kuwaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Waliabudu sanamu za miungu yao, nazo zikawa mtego wa kuwaangamiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Waliabudu sanamu zao, zikawa mtego kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Waliabudu sanamu zao, zikawa mtego kwao. Tazama sura |