Zaburi 106:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Wakamghadhabisha penye maji ya Meriba, Hasara ikampata Musa kwa ajili yao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Walimkasirisha Mungu penye maji ya Meriba, Mose akapata taabu kwa ajili yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Walimkasirisha Mungu penye maji ya Meriba, Mose akapata taabu kwa ajili yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Walimkasirisha Mungu penye maji ya Meriba, Mose akapata taabu kwa ajili yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha Mwenyezi Mungu, janga likampata Musa kwa sababu yao; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha bwana, janga likampata Musa kwa sababu yao; Tazama sura |