Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 106:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Wakamkasirisha kwa matendo yao; Tauni ikawashambulia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Waliichochea hasira ya Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao, maradhi mabaya yakazuka kati yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Waliichochea hasira ya Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao, maradhi mabaya yakazuka kati yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Waliichochea hasira ya Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao, maradhi mabaya yakazuka kati yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Waliichochea hasira ya Mwenyezi Mungu, wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, nayo tauni ikazuka katikati yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Waliichochea hasira ya bwana, wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, nayo tauni ikazuka katikati yao.

Tazama sura Nakili




Zaburi 106:29
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndivyo walivyotiwa uchafu kwa kazi zao, Wakafanya uasherati kwa matendo yao.


Ee BWANA, Mungu wetu, ndiwe uliyewajibu; Ulikuwa kwao Mungu mwenye kusamehe Ingawa uliwapatiliza matendo yao.


Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamepanga mipango mingi.


Ikawa Israeli kujiungamanisha na Baal-peori; hasira za BWANA zikawaka juu ya Israeli.


akamwandama huyo mtu wa Israeli na kuingia ndani ya hema nyuma yake, naye akawachoma wote wawili kwa fumo lake, yule mume wa Israeli na huyo mwanamke kati ya tumbo lake. Basi pigo likazuiwa kwao wana wa Israeli.


Nao waliokufa kwa pigo hilo idadi yao ilikuwa elfu ishirini na nne.


Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu elfu ishirini na tatu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo