Zaburi 106:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Bali wakanung'unika hemani mwao, Wala hawakuisikiliza sauti ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Walinungunika mahemani mwao, wala hawakumsikiliza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Walinungunika mahemani mwao, wala hawakumsikiliza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Walinung'unika mahemani mwao, wala hawakumsikiliza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Walinung’unika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Walinung’unika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii bwana. Tazama sura |