Zaburi 106:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Wakaubadili utukufu wao Kuwa mfano wa ng'ombe mla majani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 waliubadilisha utukufu wa Mungu, kwa sanamu ya mnyama ambaye hula nyasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani. Tazama sura |