Zaburi 106:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Wakamhusudu Musa kambini, Na Haruni, mtakatifu wa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kule kambini walimwonea wivu Mose, na Aroni mtumishi mtakatifu wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kule kambini walimwonea wivu Mose, na Aroni mtumishi mtakatifu wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kule kambini walimwonea wivu Mose, na Aroni mtumishi mtakatifu wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kambini walimwonea wivu Musa, na pia Haruni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kambini walimwonea wivu Musa, na pia Haruni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa bwana. Tazama sura |