Zaburi 106:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Akawapa walichomwomba, Lakini akawatumia ugonjwa wa kuwakondesha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Naye akawapa kile walichoomba, lakini akapeleka maradhi mabaya kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Naye akawapa kile walichoomba, lakini akapeleka maradhi mabaya kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Naye akawapa kile walichoomba, lakini akapeleka maradhi mabaya kati yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba, lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba, lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha. Tazama sura |