Zaburi 106:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Bali walitamani sana nyikani, Wakamjaribu Mungu jangwani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Walijawa na tamaa kubwa kule jangwani, wakamjaribu Mungu kule nyikani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Walijawa na tamaa kubwa kule jangwani, wakamjaribu Mungu kule nyikani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Walijawa na tamaa kubwa kule jangwani, wakamjaribu Mungu kule nyikani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Jangwani walitawaliwa na tamaa zao, walimjaribu Mungu nyikani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Jangwani walitawaliwa na tamaa zao, walimjaribu Mungu nyikani. Tazama sura |