Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 105:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Yeye, BWANA, ndiye Mungu wetu; Hukumu zake ziko duniani kote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yeye ndiye Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; hukumu zake zina nguvu duniani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yeye ndiye Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; hukumu zake zina nguvu duniani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yeye ndiye Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu; hukumu zake zina nguvu duniani kote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, hukumu zake ziko duniani kote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yeye ndiye bwana Mwenyezi Mungu wetu, hukumu zake zimo duniani pote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Agano langu nitalifanya imara kati yangu na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.


Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.


Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!


Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.


Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; Maana hukumu zako zikiwapo duniani, Watu wakaao duniani hujifunza haki.


Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo