Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 105:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

45 Ili wazishike amri zake, na kuzitii sheria zake. Haleluya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Asifiwe Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Asifiwe Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 kusudi watu wake watii masharti yake, na kufuata sheria zake. Asifiwe Mwenyezi-Mungu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni bwana.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:45
12 Marejeleo ya Msalaba  

Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.


Wamwekee Mungu tumaini lao. Wala wasiyasahau matendo ya Mungu, Bali wazishike amri zake.


Na sasa, Ee Israeli, zisikilizeni amri na hukumu ninazowafundisha, ili mzitende; mpate kuishi na kuingia na kuimiliki nchi anayowapa BWANA, Mungu wa baba zenu.


Basi, zishike sheria zake, na amri zake, ninazokuamuru leo, upate kufanikiwa, wewe na watoto wako baada yako, na siku zako ziwe nyingi katika nchi ile akupayo BWANA, Mungu wako, milele.


Endeni njia yote aliyowaagiza BWANA, Mungu wenu, mpate kuwa hai, na kufanikiwa, mkafanye siku zenu kuwa nyingi katika nchi mtakayoimiliki.


ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wake mwenyewe walio na bidii katika matendo mema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo