Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 105:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

40 Walimwomba naye akaleta kware, Na kuwashibisha chakula cha mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Waliomba naye akawaletea kware, akawapa mkate kutoka mbinguni kwa wingi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Waliomba naye akawaletea kware, akawapa mkate kutoka mbinguni kwa wingi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Waliomba naye akawaletea kware, akawapa mkate kutoka mbinguni kwa wingi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:40
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ukawapa na roho yako mwema ili kuwaelimisha, wala hukuwanyima mana vinywani mwao, tena ukawapa maji kwa ajili ya kiu yao.


Wakamjaribu Mungu mioyoni mwao Kwa kutaka chakula kwa tamaa zao.


Akakunyenyekeza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA.


Ndipo ile mana ikakoma siku ya pili yake, baada ya wao kuyala hayo mazao ya nchi; na hao wana wa Israeli hawakuwa na mana tena; lakini wakala mazao ya nchi ya Kanaani mwaka huo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo