Zaburi 105:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Mtafuteni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Tafuteni msaada kwa Mwenyezi-Mungu mwenye nguvu; mwendeeni Mwenyezi-Mungu daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mtafuteni Mwenyezi Mungu na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mtafuteni bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. Tazama sura |