Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 105:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Akawatoa wakiwa na fedha na dhahabu, Katika makabila yao asiwepo mwenye kujikwaa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Kisha akawatoa watu wa Israeli nchini, wakiwa na fedha na dhahabu; wala hakuna hata mmoja wao aliyejikwaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Kisha akawatoa watu wa Israeli nchini, wakiwa na fedha na dhahabu; wala hakuna hata mmoja wao aliyejikwaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Kisha akawatoa watu wa Israeli nchini, wakiwa na fedha na dhahabu; wala hakuna hata mmoja wao aliyejikwaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka makabila yao aliyejikwaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka kabila zao aliyejikwaa.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:37
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hata na taifa lile, watakaowatumikia, nitawahukumu; baadaye watatoka na mali nyingi.


Akawatoa Waisraeli katikati yao; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Lakini kila mwanamke ataomba kwa jirani, na kwa huyo akaaye naye nyumbani, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi; nanyi mtawavika wana wenu na binti zenu; nanyi mtawateka nyara Wamisri.


Aliyewaongoza vilindini, kama farasi jangwani, wasijikwae?


Mungu wa watu hawa Israeli aliwachagua baba zetu, akawatukuza watu hao, walipokuwa wakikaa kama wageni katika nchi ya Misri, na kwa mkono ulioinuliwa akawatoa, akawaongoza.


Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake; Bali waovu watanyamazishwa gizani, Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo