Zaburi 105:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Badala ya mvua aliwapa mvua ya mawe, Na umeme uliomulika ghafla katika nchi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Badala ya mvua akawapa mvua ya mawe, na umeme uliomulika nchi yao yote; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Badala ya mvua akawapa mvua ya mawe, na umeme uliomulika nchi yao yote; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Badala ya mvua akawapa mvua ya mawe, na umeme uliomulika nchi yao yote; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye miali ya radi nchini yao yote, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye umeme wa radi nchini yao yote, Tazama sura |