Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 105:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Alisema, kukaja makundi ya mainzi, Na chawa katika nchi yao yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Mungu akanena, kukazuka makundi ya nzi, na viroboto katika nchi yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Mungu akanena, kukazuka makundi ya nzi, na viroboto katika nchi yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Mungu akanena, kukazuka makundi ya nzi, na viroboto katika nchi yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Alisema, yakaja makundi ya inzi, na viroboto katika nchi yao yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Alisema, yakaja makundi ya mainzi, na viroboto katika nchi yao yote.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

Aliwapelekea mainzi wakawala, Na vyura wakawaharibu.


Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.


BWANA akafanya sawasawa na neno la Musa; na hao vyura wakafa kutoka katika zile nyumba, na katika viwanja, na katika mashamba.


BWANA akamwambia Musa, Inuka asubuhi na mapema usimame mbele ya Farao; angalia! Atoka aende majini; kamwambie, BWANA asema, Wape watu wangu ruhusa waende zao, ili wanitumikie mimi.


Tena itakuwa katika siku hiyo BWANA atampigia kelele inzi aliye katika pande za mwisho za mito ya Misri, na nyuki aliye katika nchi ya Ashuru


Tufuate:

Matangazo


Matangazo