Zaburi 105:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Nchi yao ilijaa vyura, Hata nyumbani mwa wafalme wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Vyura wakaivamia nchi yao, hata jumba la mfalme likajawa nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Vyura wakaivamia nchi yao, hata jumba la mfalme likajawa nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Vyura wakaivamia nchi yao, hata jumba la mfalme likajawa nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao. Tazama sura |