Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 105:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Jisifieni jina lake takatifu; wenye kumcha Mwenyezi-Mungu na wafurahi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu na ifurahi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wamtafutao bwana na ifurahi.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:3
13 Marejeleo ya Msalaba  

Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Maana furaha yangu hutoka kwa BWANA.


Katika BWANA nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie na kufurahi.


Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao.


Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.


Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, BWANA, nasema ukweli; nanena mambo ya haki.


Katika BWANA wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.


BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo.


mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.


kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye aonaye fahari na aone fahari juu ya Bwana.


Lakini mimi, la hasha, nisione fahari juu ya kitu chochote ila msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambao kwa huo ulimwengu umesulubishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo