Zaburi 105:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Aliyageuza maji yao yakawa damu, Akawaua samaki wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Akageuza mito yao kuwa damu, akawaua samaki wao wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Akageuza mito yao kuwa damu, akawaua samaki wao wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Akageuza mito yao kuwa damu, akawaua samaki wao wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa. Tazama sura |
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.