Zaburi 105:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Alituma giza, na kufanya nchi kuwa na giza, Wakayaasi maneno yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Mungu akaleta giza juu ya nchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Mungu akaleta giza juu ya nchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Mungu akaleta giza juu ya nchi; lakini Wamisri wakakataa kutii amri zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? Tazama sura |