Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 105:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Akawajalia watu wake wazae sana, Akawafanya kuwa hodari kuliko watesi wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mwenyezi-Mungu akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko maadui zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mwenyezi-Mungu akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko maadui zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mwenyezi-Mungu akawafanya watu wake wazae sana; akawajalia nguvu kuliko maadui zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mwenyezi Mungu aliwafanya watu wake kuzaana sana; aliwafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao,

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:24
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na uzao wako nitaufanya uwe kama mavumbi ya nchi; ikiwa mtu ataweza kuyahesabu mavumbi ya nchi, uzao wako nao utahesabika.


Akasema, Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako, usiogope kushuka mpaka Misri; maana nitakufanya uwe taifa kubwa huko.


Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi, walipata hesabu yao kama watu elfu mia sita wanaume waliokwenda kwa miguu, bila kuhesabu watoto.


Basi wakati wa ile ahadi ambayo Mungu alimpa Abrahamu ulipokuwa unakaribia, wale watu wakazidi na kuongezeka sana huko Misri,


Nawe ujibu, ukaseme mbele za BWANA, Mungu wako, Baba yangu alikuwa Mwarami karibu na kupotea, akashuka Misri, akakaa huko ugenini, nao ni wachache hesabu yao; akawa taifa kubwa huko, yenye nguvu na watu wengi.


Na kwa ajili ya hayo wakazaliwa na mtu mmoja, naye alikuwa kama mfu, watu wengi kama nyota za mbinguni wingi wao, na kama mchanga ulio ufuoni, usioweza kuhesabika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo