Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 105:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Awaongoze maofisa wake kama apendavyo, Na kuwafundisha wazee wake hekima.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 awaongoze maofisa wake apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 awaongoze maofisa wake apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 awaongoze maofisa wake apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo, na kuwafundisha wazee wake hekima.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:22
4 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, Farao na ajitafutie mtu wa akili na hekima amweke juu ya nchi ya Misri.


Farao akawaambia watumishi wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye Roho ya Mungu ndani yake?


Farao akamwambia Yusufu, Mimi ni Farao, na bila amri yako, mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.


Wakuu wa Soani wamekuwa wapumbavu kabisa; washauri wenye hekima wa Farao, ushauri wao umepumbazika; mwawezaje kumwambia Farao, Mimi ni mwana wa wenye hekima, ni mwana wa wafalme wa zamani?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo