Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 105:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Akamweka kuwa mkuu wa nyumba yake, Na mwenye mamlaka juu ya mali yake yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Alimweka kuwa mkurugenzi wa serikali yake, na mkuu wa mali yake yote;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Alimweka kuwa mkurugenzi wa serikali yake, na mkuu wa mali yake yote;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Alimweka kuwa mkurugenzi wa serikali yake, na mkuu wa mali yake yote;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala wa vyote alivyokuwa navyo,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo,

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:21
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na nchi yote ya Misri ilipoona njaa, watu walimlilia Farao awape chakula. Farao akawaambia Wamisri wote, Nendeni kwa Yusufu; atakavyowaambia, fanyeni.


Wakampasha habari, wakisema, Yusufu angali hai; naye ndiye mtawala katika nchi yote ya Misri. Moyo wake ukazimia, kwa sababu hakuwasadiki.


Basi si ninyi mlionileta huku, ila Mungu; naye ameniweka kama baba kwa Farao, na bwana katika nyumba yake yote, na mtawala katika nchi yote ya Misri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo