Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Zaburi 105:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Mfalme alituma watu na kumfungua, Mkuu wa watu akamwachilia huru.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mfalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mtawala wa mataifa akamwachilia huru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mfalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mtawala wa mataifa akamwachilia huru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mfalme wa Misri akaamuru afunguliwe; mtawala wa mataifa akamwachilia huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.

Tazama sura Nakili

Zaburi 105:20
1 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Farao akatuma watu kumwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo