Zaburi 105:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Yasimulieni maajabu yake yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mshangilieni, mwimbieni Mungu sifa; simulieni matendo yake ya ajabu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu. Tazama sura |