Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Zaburi 105:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Hadi wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya BWANA ilimjaribu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Muda si muda alichotabiri kilitimia. neno la Mwenyezi-Mungu lilimdhibiti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Muda si muda alichotabiri kilitimia. neno la Mwenyezi-Mungu lilimdhibiti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Muda si muda alichotabiri kilitimia. neno la Mwenyezi-Mungu lilimdhibiti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Mwenyezi Mungu lilipomthibitisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la bwana lilipomthibitisha.

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yusufu akamwambia Farao, Ndoto ya Farao ni moja; Mungu amemwonesha Farao atakayoyafanya hivi karibuni.


Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo.


Ee Mungu, Wewe ndiwe mfalme wangu, Uagize mambo ya wokovu kwa Yakobo.


Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza popote apendapo.


Lakini mimi, sikufunuliwa siri hii kwa sababu ya hekima iwayo yote niliyo nayo zaidi ya watu wengine walio hai, bali kusudi mfalme afunuliwe ile tafsiri, nawe upate kujua mawazo ya moyo wako.


akamtoa katika dhiki zake zote, akampa fadhili na hekima mbele ya Farao, mfalme wa Misri; naye akamfanya awe mtawala juu ya Misri na nyumba yake yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo