Zaburi 105:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Lakini aliwatangulizia mtu mmoja, Yosefu aliyekuwa ameuzwa utumwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Lakini aliwatangulizia mtu mmoja, Yosefu aliyekuwa ameuzwa utumwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Lakini aliwatangulizia mtu mmoja, Yosefu aliyekuwa ameuzwa utumwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 naye akatuma mtu mbele yao, Yusufu, aliyeuzwa kama mtumwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 naye akatuma mtu mbele yao, Yusufu, aliyeuzwa kama mtumwa. Tazama sura |