Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 105:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Hakumwacha mtu awaonee, Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Lakini Mungu hakuruhusu mtu awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Lakini Mungu hakuruhusu mtu awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Lakini Mungu hakuruhusu mtu awadhulumu; kwa ajili yao aliwaonya wafalme:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Hakuruhusu mtu yeyote awadhulumu; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:

Tazama sura Nakili




Zaburi 105:14
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wakashika njia, hofu ya Mungu ikaishika miji iliyowazunguka, wala hawakuwafuata wana wa Yakobo.


Israeli walikuwa utakatifu kwa BWANA; malimbuko ya uzao wake; Wote watakaomla watakuwa na hatia; uovu utawajia; asema BWANA.


Mtwae, umtunze sana, wala usimtende neno baya lolote; lakini umtendee kama atakavyokuambia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo